Psalms 119
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
9Kijana ataiangaliaje njia yake, iwe imetakata? Itakuwa hapo, atakapolishika Neno lako na kulifuata.
50Hili ndilo lililonituliza moyo katika mateso yangu, kwani Neno lako ndilo lililonirudisha uzimani.