bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Psalms 78
Psalms 78
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 77
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 79 →
1
Ninyi mlio ukoo wangu, yasikilizeni mafundisho yangu! Yategeni masikio yenu, msikie, kinywa changu kinavyoyasema!
2
Nitakifumbua kinywa changu, kiseme mifano na kuwaambia mafumbo yaliyo ya kale.
3
Tuliyasikia, tukayajua, maana waliotusimuliani baba zetu.
4
Nasi tusiyafiche wana wao, wao wa vizazi vijavyo tuwasimulie mashangilio ya Bwana nayo matendo yake ya nguvu ya kustaajabisha, aliyoyafanya yeye.
5
Alisimika mashuhuda kwao Wayakobo, akaweka maonyo kwao Waisiraeli, akawaagiza baba zetu, wayafundishe, wana wao wayajue,
6
kusudi wao wa vizazi vijavyo nyuma wayajue nao, kwamba nao watakapokua wayasimulie watoto wao,
7
wapate kumwegemea Mungu na kumjetea, wasizisahau kazi zake Mungu, wayashike maagizo yake,
8
wasiwe kizazi, kama hicho cha baba zao: chenye ubishi na ukatavu, chenye mioyo isiyopaelekea hapo pamoja, tena chenye roho zisizomtegemea Mungu.
9
Wana wa Efuraimu walikuwa mafundi wa kupiga mishale, lakini siku ya kupiga vita walirudi nyuma.
10
Agano la Mungu hawakulishika, wakakataa kuyafuata Maonyo yake.
11
Wakayasahau matendo yake, hata vioja vyake, alivyowaonyesha.
12
Alifanya vioja machoni pao baba zao katika nchi ya Misri shambani kwa Soani.
13
Alipasua bahari, akawapitisha mlemle akiyasimamisha maji yake kuwa kama ukingo.
14
Akawaongoza mchana kwa wingu, nao usiku wote kwa mwanga wa moto.
15
Akapasua magenge kule nyikani, akawapa maji mengi ya kunywa, kama viko vilindi.
16
Kulikokuwa na miamba tu ndiko, alikotokeza vijito, akavifurikisha maji, yatelemke kama ya mito mikubwa.
17
Kisha wakafuliza kumkosea tena, wakakataa jangwani kumtii yule Alioko huko juu.
18
Wakamjaribu Mungu mioyoni mwao, wakitaka kwake vilaji viwapendezavyo rohoni mwao.
19
Wakamnung'unikia Mungu wakisema: je? Mungu ataweza kututandikia meza huku nyikani?
20
Kweli alipopiga mwamba, maji yakatoka, vijito vikaenda; lakini atawezaje kutupa navyo vilaji? nazo nyama atatupatiaje sisi tulio ukoo wake?
21
Naye Bwana alipovisikia alichafuka sana, moto ukawashwa wa kuwala wao Wayakobo, makali yakawafokea wao Waisiraeli.
22
Kwani hawakumtegemea yeye Mungu, wala hawakungojea, awaokoe.
23
Naye akaagiza mawingu yaliyoko juu, akaifungua milango ya mbinguni,
24
akawanyeshea Mana, wapate kula; ndio ngano zambinguni, alizowapa.
25
Wakala kila mtu huo mkate wa malaika; hivyo aliwapelekea pamba za njiani za kushiba.
26
Kisha akatokeza mbinguni upepo wa maawioni kw ajua, akauvuta nao upepo wa kusini kwa nguvu zake.
27
Akawanyeshea mvua kama ya mavumbi, ndio nyama wa kula, ni ndege warukao, wengi mno kama mchanga wa ufukoni.
28
Akawaangusha kambini kwao po pote, walipokuwa wamepanga.
29
Wakala, wakashiba sana, alipowapa, wazikomeshe tamaa zao;
30
lakini hizo tamaa zao hawakuziacha, hivyo vilaji vyao vilipokuwa vikingalimo vinywani mwao bado.
31
Hapo ndipo, makali ya Mungu yalipomkwea kwa ajili yao, waliokuwa wenye nguvu akawaua, nao vijana wa Isiraeli akawalaza uvumbini.
32
Katika mambo hayo yote wakamkosea tena, hata vioja vyake hawakuvitegemea.
33
Kwa hiyo alizimaliza siku zao upesi, wakawa kama mvuke, miaka yao ikapita upesi sana, alipowaangamiza kwa mastuko.
34
Napo hapo, alipowaua hivyo, ndipo, walipomtafuta, wakarudi na kumtazamia machana kutwa.
35
Wakamkumbuka Mungu kuwa mwamba wao, ya kuwa yeye Alioko huko juu ni mwokozi wao.
36
Lakini hata hapo walimdanganya na vinywa vyao, nazo ndimi zao zikamwongopea;
37
nayo mioyo yao haikumwelekea, wala Agano lake hawakulitegemea.
38
Lakini kwa kuwahurumia akazifunika manza zao, asiwaangamize, akayarudisha makali yake, yaende nyuma kabisa, asiuchochee moto wote wa machafuko yake.
39
Akawakumbuka kuwa wenye miili ya kimtu tu, kuwa upepo upitao pasipo kurudi.
40
Je? Mara ngapi walimchokoza nyikani, wakamsikitisha jangwani?
41
Mara kwa mara walirudi nyuma, wamjaribu Mungu; ndivyo, walivyomsumbua Mtakatifu wa Isiraeli.
42
Hawakukumbuka, ya kuwa ni mkono wake uliowakomboa siku ile ulipowatoa mikononi mwake aliyewasonga.
43
Naye ndiye aliyevifanya vielekezo vyake katika nchi ya Misri, navyo vioja vyake shambani kwa Soani:
44
maji ya mito yao aliyageuza kuwa damu, wasiweze kuyanywa yale maji yao.
45
Akatuma kwao mbu, wawale, hata vyura, wawamalize.
46
Mashamba yao akawapa funutu, navyo, vyakula, walivyovipanda na kusumbuka, akawapa nzige.
47
Mizabibu yao akaivunja kwa mvua ya mawe, kwa hiyo mvua ya mawe ikafa nayo mikuyu yao.
48
Hata ng'ombe wao akawatoa, wapigwe nayo hiyo mvua ya mawe, nao mbuzi wao akawamaliza kwa umeme.
49
Akatuma kwao moto wa makali yake, tena machafuko na machungu na masongano mengine; lilikuwa kundi zima la malaika waliowapelekea mabaya.
50
Akayafungua makali yake, yajiendee tu, hakuzitoa roho zao katika kufa, ila aliwaacha, kipindupindu kiwashike, wajifie.
51
Akampiga kila mzaliwa wa kwanza katika nchi ya Misri, wote waliokuwa malimbuko yenye nguvu katika mahema ya Hamu.
52
Lakini walio ukoo wake walitoka, akiwachunga kama kondoo, akawaongoza kama kundi la mbuzi huko nyikani,
53
akawasafirisha vizuri, wasishikwe na woga, lakini adui zao bahari iliwafunika.
54
Akawafikisha kwenye mpaka wa Patakatifu pake, penye ule mlima, ambao ulijipatia mkono wake wa kuume.
55
Akawafukuza wamizimu mbele yao, akawaagiza kugawiana nchi zao kwa kuzipigia kura, kila apate fungu lake, ndilo liwe urithi wake, akayakalisha mashina ya Isiraeli katika mahema yao.
56
Lakini walimjaribu Mungu alioko huko juu na kumchokoza, hawakuyashika maagano yake, aliyoyashuhudia,
57
wakarudi nyuma kwa udanganyifu wao kama baba zao, wakapinduka kama upindi usiotegemeka.
58
Kwa kutambika vilimani juu wakamkasirisha, kwa kuvitambikia vinyago vya wakamtia wivu.
59
Moto wa makali ukamkwea Mungu, alipoyasikia, akawatupa Waisiraeli kabisa kabisa.
60
Akaliacha Kao lake kule Silo, ni lile hema, ambalo alikaa humo kwenye watu.
61
Wale, aliowatia nguvu, akawatoa, wafungwe, waliokuwa urembo wake akawatia mikononi mwao waliowasonga.
62
Walio ukoo wake akawaacha, wauawe na panga, wao waliokuwa fungu lake akawatolea makali yake.
63
Moto ukawala vijana wao wanawali wao hawakuimbiwa nyimbo za ndoa.
64
Watambikaji wao wakauawa kwa panga, nao wajane wao hawakuwaombolezea.
65
Kisha Bwana aliamka kama mtu aliyelala usingizi, kama mwenye nguvu anayepiga shangwe akiondoka kwenye mvinyo.
66
Akawapiga waliowasonga, akawarudisha nyuma, nayo masimango ya kale na kale ndiyo, aliyowapatia.
67
Akakitupa kituo cha Yosefu, nao ukoo wa Efuraimu hakuuchagua.
68
Akauchagua ukoo wa Yuda na mlima wa Sioni, alioupenda.
69
Akapajenga Patakatifu pake, paende juu kabisa, pawe kama nchi, aliyoiweka ya kuwapo kale na kale.
70
Kisha akamchagua mtumishi wake Dawidi, aje kumtumikia; kwenye mazizi ya kondoo ndiko, alikomchukua.
71
akamtoa kwenye kondoo wanyonyeshao, awachunge walio ukoo wake Yakobo pamoja nao walio fungu lake Isiraeli.
72
Akawachunga kwa kuwa mwenye moyo uliotakata wote, kwa kuwa mikono yake iliijua kazi hiyo, akawaongoza.
← Chapter 77
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 51
Chapter 52
Chapter 53
Chapter 54
Chapter 55
Chapter 56
Chapter 57
Chapter 58
Chapter 59
Chapter 60
Chapter 61
Chapter 62
Chapter 63
Chapter 64
Chapter 65
Chapter 66
Chapter 67
Chapter 68
Chapter 69
Chapter 70
Chapter 71
Chapter 72
Chapter 73
Chapter 74
Chapter 75
Chapter 76
Chapter 77
Chapter 78
Chapter 79
Chapter 80
Chapter 81
Chapter 82
Chapter 83
Chapter 84
Chapter 85
Chapter 86
Chapter 87
Chapter 88
Chapter 89
Chapter 90
Chapter 91
Chapter 92
Chapter 93
Chapter 94
Chapter 95
Chapter 96
Chapter 97
Chapter 98
Chapter 99
Chapter 100
Chapter 101
Chapter 102
Chapter 103
Chapter 104
Chapter 105
Chapter 106
Chapter 107
Chapter 108
Chapter 109
Chapter 110
Chapter 111
Chapter 112
Chapter 113
Chapter 114
Chapter 115
Chapter 116
Chapter 117
Chapter 118
Chapter 119
Chapter 120
Chapter 121
Chapter 122
Chapter 123
Chapter 124
Chapter 125
Chapter 126
Chapter 127
Chapter 128
Chapter 129
Chapter 130
Chapter 131
Chapter 132
Chapter 133
Chapter 134
Chapter 135
Chapter 136
Chapter 137
Chapter 138
Chapter 139
Chapter 140
Chapter 141
Chapter 142
Chapter 143
Chapter 144
Chapter 145
Chapter 146
Chapter 147
Chapter 148
Chapter 149
Chapter 150
Chapter 79 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150