bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Deuteronomy 34
Deuteronomy 34
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 33
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
1
Kisha Mose akatoka kwenye mbuga za Moabu, akaupanda mlima wa Nebo ulio mrefu zaidi kuliko milima mingine ya Pisiga, unaoelekea Yeriko. Huko Bwana akamwonyesha nchi yote ya Gileadi mpaka nchi ya Dani,
2
nayo nchi yote ya Nafutali, nayo nchi ya Efuraimu, nayo ya Manase, nayo nchi yote nzima ya Yuda mpaka kwenye bahari ya machweoni kwa jua,
3
nayo nchi ya kusini, nayo nchi ya tambarare ya bondeni karibu ya Yeriko, ule mji wenye mitende, mpaka Soari.
4
Kisha Bwana akamwambia: Hii ndiyo nchi, niliyomwapia Aburahamu na Isaka na Yakobo kwamba: Nchi hii nitawapa wao wa uzao wako. Basi, nimekuonyesha, uione kwa macho yako, lakini hutavuka kuiingia.
5
Kisha Mose, mtumishi wa Bwana, akafa huko katika nchi ya Moabu, kwa kuwa Bwana aliviagiza hivyo.
6
Akamzika huko katika bonde la nchi ya Moabu kulikoelekea Beti-Peori, lakini hakuna mtu anayelijua kaburi lake mpaka siku hii ya leo.
7
Mose alikuwa mwenye miaka 120 alipokufa, macho yake yalikuwa hayakufifia, nazo nguvu zake za mwilini zilikuwa hazikupunguka.
8
Wana wa Isiraeli wakamwombolezea Mose siku 30 katika mbuga za Moabu, hata siku za maombolezo ya matanga ya Mose zikatimia.
9
Naye Yosua, mwana wa Nuni, alikuwa amejazwa roho ya werevu wa kweli, kwa kuwa Mose alimbandikia mikono yake. Kwa hiyo wana wa Isiraeli wakamsikia, wakafanya, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
10
Kwao Waisiraeli hakuinuka tena mfumbuaji kama Mose, Bwana aliyejuana naye uso kwa uso,
11
wala hakuna aliyefanana naye kwa kufanya vielekezo na vioja vyote, Bwana alivyomtuma katika nchi ya Misri kumfanyizia Farao nao watumishi wake wote na wenyeji wote wa nchi yake,
12
wala hakuna aliyefanana naye kwa kufanya matendo yote ya nguvu za mikono yake wala kwa yale makuu yote ya kustusha, Mose aliyoyafanya machoni pao Waisiraeli wote.
← Chapter 33
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34