bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Matthew 3
Matthew 3
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 2
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 4 →
1
Siku zile alitokea Yohana Mbatizaji, akapiga mbiu nyikani kwa Yudea akisema:
2
Juteni! Kwani ufalme wa mbinguni umekaribia.
3
Kwani huyo ndiye, aliyemtaja mfumbuaji Yesaya aliposema: Iko sauti ya mtu apigaye mbiu nyikani: Itengenezeni njia ya Bwana! Yanyosheni mapito yake!
4
Naye Yohana alikuwa amevaa mavazi ya manyoya ya ngamia na mkanda wa ngozi kiunoni pake; chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni.
5
Ndipo, walipomtokea wa Yerusalemu, nao wote wa Yudea na wa nchi zote za kando ya Yordani,
6
wakabatizwa naye katika mto wa Yordani wakiyaungama makosa yao.
7
Lakini alipoona, Mafariseo na Masadukeo wengi wakimjia, wabatizwe, akawaambia: Ninyi wana wa nyoka, nani aliwaambia ninyi ya kuwa mtayakimbia makali yatakayokuja?
8
Tendeni mazao yaliyo ya kujuta kweli!
9
Msiwaze mioyoni mwenu kusema: Tunaye baba yetu, ndiye Aburahamu! Kwani nawaambiani: katika mawe haya ndimo, Mungu awezamo kumwinulia Aburahamu wana.
10
Miti imekwisha wekewa mashoka mashinani, kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa, utupwe motoni.
11
Mimi nawabatiza katika maji, mpate kujuta. Lakini yeye anayekuja nyuma yangu ana nguvu kunipita mimi, nami sifai kumchukulia viatu vyake. Yeye atawabatiza katika Roho takatifu na katika moto.*
12
Ungo wa kupepetea umo mkononi mwake, naye atapafagia pake pa kupuria ngano. Ngano zake atazikusanya, aziweke chanjani, lakini makapi atayachoma kwa moto usiozimika.
13
Ndipo, Yesu alipotoka Galilea, akafika Yordani, akamjia Yohana akitaka kubatizwa naye.
14
Lakini Yohana akamzuia akisema: Mimi imenipasa kubatizwa na wewe, nawe wewe unanijia mimi?
15
Yesu akajibu akimwambia: Acha tu! Kwani ndivyo, inavyotupasa kuyatimiza maongozi yote. Ndipo, alipomwachia.
16
Yesu alipokwisha batizwa, papo hapo, alipotoka majini, mbingu zikafunuka, akaona, Roho ya Mungu anavyoshuka kama njiwa na kumjia yeye.
17
Mara sauti ikatoka mbinguni ikasema: Huyu ndiye mwanangu mpendwa, ambaye nimependezwa naye.*
← Chapter 2
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 4 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28