bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Proverbs 19
Proverbs 19
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 18
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 20 →
1
Mkiwa aishikaye njia yake pasipo kukosa na mwema kuliko mpotovu wa midomo aliye mpumbavu.
2
Roho ikosayo ujuzi siyo njema, naye mwenye haraka ya kupiga mbio kwa miguu hukosa.
3
Ujinga wa mtu huipotoa njia yake mwenyewe, lakini moyo wake humkasirikia Bwana.
4
Kuwa na mali huongeza rafiki, wawe wengi, lakini mnyonge huachwa na rafiki zake.
5
Shahidi ya uwongo hana budi kupatilizwa, asemaye na kuongopa haponi.
6
Watu wengi hulalamika usoni pa wakuu, watu wote huwa rafiki zake awapaye matunzo.
7
Maskini huchukiwa na ndugu zake wote, wanaozidi ni rafiki zake, hutengana naye humwacha mbali; akiwafuata, aseme nao, sio rafiki zake tena.
8
Apataye akili hujipenda mwenyewe utambuzi huona mema.
9
Shahidi ya uwongo hana budi kupatilizwa, asemaye na kuongopa huangamia.
10
Mpumbavu hapaswi na kutumia yenye urembo, sembuse mtumishi, hapaswi na kuwatawala wafalme.
11
Akili za mtu humvumilisha, utukufu wake umo katika kuwaondolea wengine mapotovu yao.
12
Ukali wa mfalme ni kama ngurumo ya simba, lakini upole wake ni kama umande unyweshao majani.
13
Mwana mpumbavu humpatia baba yake mabaya, lakini magomvi ya mwanamke huwa mchirizi usiokoma kuchuruzika.
14
Nyumba na mali watu huachiwa na baba zao, lakini mwanamke mwenye akili hutoka kwa Bwana.
15
Uvivu humpatia mtu usingizi mwingi, nayo roho ya mtu afanyaye kazi na kulegeza mikono huona njaa.
16
Aliangaliaye agizo la Mungu hujiangalia mwenyewe, lakini azibezaye njia zake hufa.
17
Ahurumiaye mnyonge humkopesha Bwana, ndiye atakayemlipa tendo lake.
18
Mpige mwanao unapoweza kumngojea, aonyeke, lakini usiwaze moyoni mwako kumwua!
19
Mwenye makali mengi hutozwa malipo, kwani ukimwacha tu, unayazidisha makali yake.
20
Yasikie mashauri, unayopewa, uonyeke, kusudi uerevuke kweli katika siku zako zijazo.
21
Moyoni mwa mtu yamo mawazo mengi, lakini shauri la Bwana ndilo litakalokuwa.
22
Ugawiaji wa mtu hutokea katika mapenzi yake, naye maskini ni mwema kuliko mwenye uwongo.
23
Kumcha Bwana hupeleka uzimani, hivyo mtu hulala na kushiba pasipo kupatwa na mabaya.
24
Mvivu akiutia mkono wake katika bakuli haurudishi kinywani mwake.
25
Ukimpiga mfyozaji, ndipo, mjinga atakapoerevuka, ukimwonya mtambuzi, ndipo, atakapotambua ujuzi.
26
Amtesaye baba yake na kumfukuza mama yake ni mwana atiaye soni kwa kutweza.
27
Mwanangu, acha kuyasikiliza mafunzo, ukitaka kuyakosea tena maneno ya ujuzi!
28
Shahidi asiyefaa kitu hufyoza mashauri yaliyo sawa, navyo vinywa vyao wasiomcha Mungu hujilisha mapotovu.
29
Mashauri ya wafyozaji yamekwisha kutengenezwa, nayo mapigo ya migongoni kwa wapumbavu yako tayari.
← Chapter 18
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 20 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31