bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Proverbs 2
Proverbs 2
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 1
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 3 →
1
*Mwanangu, ukiyapokea maneno yangu na kuyashika maagizo yangu moyoni mwako,
2
ukiutegea werevu wa kweli sikio lako, ukauelekezea utambuzi moyo wako,
3
ukiziita akili na kuipaza sauti yako, upate utambuzi,
4
ukiutafuta, kama unavyotafuta fedha, ukiuchunguza, kama unavyochunguza mali zilizofichwa:
5
ndipo, utakapoitambua maana ya kumcha Bwana, tena ndipo, utakapopata kumjua Mungu.
6
Kwani Bwana huerevusha kweli, kinywani mwake hutoka ujuzi na utambuzi.
7
Wanyokao aliwawekea wokovu, ni ngao yao waendeleao pasipo kukosa,
8
ayalinde mapito yaliyo sawa na kuzingalia njia zao wamchao.*
9
Ndipo, utakapotambua wongofu na mashauri yaliyo sawa nayo yanyokayo na kila njia njema,
10
kwani werevu wa kweli utaingia moyoni mwako, nao ujuzi utaupendeza roho yako.
11
Mawazo mema ya moyo yatakuangalia, nao utambuzi utakulinda,
12
yakuponye, usiishike njia ya wabaya, usiwafuate watu wasemao mapotovu,
13
walioziacha njia zinyokazo, waende katika njia zenye giza.
14
Wanaofurahiwa na kufanya mabaya, wanaoshangilia mapotovu ya wabaya,
15
njia zao nazo ni za upotovu, nayo mikondo yao hainyoki.
16
Nayo yale mawazo mema ya moyo yatakuponya, usimchukue mwanamke mgoni aliye wa mwingine, ijapo akubembeleze kwa maneno mazuri;
17
kwa kuwa alimwacha mpendwa wa ujana wake na kulisahau agano la Mungu wake,
18
nyumba yake inatumbukia penye kifo, nayo mapito yake humwongoza kwenda kwao wazimu.
19
Wote walioingia mwake hakuna atakayerudi, wala hakuna atayezifikilia njia za kwenda uzimani.
20
Huku na kwamba: Uende katika njia ya watu wema na kuyashika mapito yao walio waongofu.
21
Kwani wanyokao ndio watakaokaa katika nchi, nao wamchao Mungu watasazwa huku;
22
lakini wasiomcha Mungu watang'olewa katika nchi, nao waliomwacha Bwana watapokonywa huku.
← Chapter 1
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 3 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
Recommended Reading
Commentary
Proverbs Commentaries
→
Devotional
Proverbs Devotional Guide
→
Get This Bible
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible ) Study Bible
→