bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Proverbs 9
Proverbs 9
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 8
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 10 →
1
*Werevu wa kweli ulijenga nyumba yake, ukazichonga nguzo zake saba.
2
Ukachinja nyama wake, ukaziandalia mvinyo zake, ukatandika nayo meza yake.
3
Kisha ukatuma vijakazi wake kualika wageni mjini po pote palipoinukia kwamba:
4
Aliye mjinga aje kuingia humu! Nao wasiojua kitu ukawaambia:
5
Njoni, mle vilaji vyangu! Nyweni nazo mvinyo, nilizoziandalia!
6
Ninyi wajinga, uacheni ujinga, mpate uzima, mwendelee katika njia ya utambuzi!
7
Amkanyaye mfyozaji hujipatia matusi, naye aonyaye mtu asiyemcha Mungu hutiwa soni naye.
8
Usimwonye mfyozaji, asikuchukie! Mwonye mwerevu wa kweli naye atakupenda.
9
Aliye mwerevu wa kweli mwerevushe, ndipo, atakapoendelea kuerevuka zaidi. Aliye mwongofu mfunze! Ndipo, atakapoendelea kujipatia ujuzi.
10
Kumcha Bwana ndio mwanzo wa werevu wa kweli, tena kumjua Mtakatifu ndio ujuzi.*
11
Kwani kwa msaada wangu siku zako zitakuwa nyingi, nayo miaka yako ya kukaa mwenye uzima itaongozeka.
12
Ukiwa umeerevuka kweli, umejipatia mapato ya werevu wa kweli; ukiwa u mfyozaji, basi, utatwikwa peke yako huo mzigo wako.
13
Mwanamke aitwaye ujinga hupiga kelele; yeye aliye mjinga asiyejua maana ya kitu cho chote
14
hukaa mlangoni pa nyumba yake katika kiti mahali pa mjini panapoinukia,
15
awaalike wote wapitao njiani nao wanaokwenda katika njia zao zinyokazo,
16
akisema: Aliye mjinga aje kuingia humu! Nao wasiojua kitu huwaambia:
17
Maji yaliyoibiwa ni matamu, navyo vilaji vinavyoliwa na kufichaficha hupendeza!
18
Naye mjinga hajui, ya kuwa ndiko, mizimu iliko, ya kuwa wao walioalikwa naye hufika katika makorongo ya kuzimuni.
← Chapter 8
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 10 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31