bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Proverbs 5
Proverbs 5
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 4
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 6 →
1
Mwanangu, usikilize werevu wangu ulio wa kweli! Utegee utambuzi wangu sikio lako,
2
upate kuyaangalia mawazo ya moyo, midomo yako nayo iulinde ujuzi!
3
Kwani midomo ya mwanamke mgeni hudondosha asali, kinywa chake nacho huteleza kuliko mafuta.
4
Lakini mwisho hutokeza uchungu ulio mkali kuliko wa shubiri, hukata kuliko upanga wenye makali pande mbili.
5
Miguu yake hushukia kifo, kuzimuni ndiko, mwenendo wake unakoelekea,
6
asiishike njia iendayo uzimani iliyo sawa, wala asijue, jinsi mapito yake yanavyopotea.
7
Sasa wanangu, nisikieni! Msiyaache maneno ya kinywa changu!
8
Iangalie njia yako, impitie mbali, usipafikie karibu pa kuingia nyumbani mwake,
9
usiwape wengine yaliyo utukufu wako, wala miaka yako isikatwe na mtu asiyeona huruma!
10
Wageni wasijishibishe mali zako, nguvu yako ilizokupatia, wala mapato, uliyoyasumbukia, yasipelekwe nyumbani mwa wengine!
11
Mwisho ukikufikia, utapiga kite; nyama na nguvu za mwili wako zitakapokuwa zimeishilizwa,
12
ndipo, utakaposema: Kumbe nilichukizwa nilipoonywa, moyo wangu ukakataa kuchapwa!
13
Sikuzisikia sauti za wafunzi wangu, wala sikuwategea sikio langu walionifundisha.
14
Ikasalia kidogo, wote mzima nikashikwa na mabaya, nilipokuwa katikati ya mkutano wao wakatao mashauri.
15
Yanywe maji ya shimo lako wewe, nayo maji yabubujikayo katika kisima chako!
16
Je? Chemchemi zako zitawanyike nje? navyo vijito vya maji vitawanyike viwanjani?
17
La, sharti maji yao yawe yako peke yako, yasiwe ya wageni pamoja na wewe!
18
Kisima chako na kibarikiwe, upate kufurahia mke wa ujana wako!
19
Anafanana na kulungu mke apendezaye, tena na paa mke afurahishaye, maziwa yake yakuchangamshe siku zote, kwa upendo wake na uwe pasipo kukoma kama mtu alewaye.
20
Mwanangu, mbona unataka kujilewesha kwa mwanamke mgeni? Mbona unataka kukumbatia kifua cha mwanamke wa mwingine?
21
Kwani machoni pa Bwana njia za kila mtu ziko waziwazi, yeye ndiye anayeyatengeneza mapito ya kila mtu.
22
Manza, alizozikora mwenyewe, zitamnasa asiyemcha Mungu, akamatwe na kamba za makosa yake.
23
Huyo atakufa, kwa kuwa hakuonyeka, kwa ujinga wake mwingi atapepesuka, aanguke.
← Chapter 4
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 6 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31