bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Proverbs 26
Proverbs 26
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 25
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 27 →
1
Kama theluji isivyopatana na kiangazi, kama mvua isivyopatana na mavuno, ndivyo, macheo yasivyopatana na mpumbavu.
2
Kama ndege anavyojiendea tu, kama kinega anavyoruka, ndivyo, kiapizo cha bure kilivyo, hakimfikii aapizwaye.
3
Mjeledi humpasa farasi, nayo hatamu humpasa punda; ndivyo, fimbo inavyoipasa migongo ya wapumbavu.
4
Usimjibu mpumbavu na kuufuata ujinga wake, usije nawe mwenyewe kufanana naye!
5
Tena umjibu mpumbavu na kuufuata ujinga wake, asijiwazie mwenyewe kuwa mwerevu wa kweli!
6
Mwenye kujikata miguu au mwenye kujinywesha makorofi ni mtu apelekaye habari kwa kutuma mpumbavu.
7
Kama miguu ya kiwete isivyotumika, ndivyo, fumbo lilivyo kinywani mwa wapumbavu.
8
Kama kutupa kifuko cha vito katika chungu ya mawe kulivyo, ndivyo, kumpa mpumbavu macheo kulivyo.
9
Mwiba uliochoma mkono wa mlevi ni fumbo lililomo vinywani mwa wapumbavu.
10
Fundi hutengeneza yote mwenyewe, lakini mpumbavu atafutaye watu wa mshahara huwapa kazi ya mshahara walio wapitaji tu.
11
Kama mbwa anavyoyarudia matapiko yake, ndivyo, mpumbavu anavyoufanya ujinga wake mara ya pili.
12
Kama unaona mtu aliye mwerevu wa kweli machoni pake mwenyewe, basi, mpumbavu hutegemeka kuliko huyo.
13
Mvivu husema: Simba yuko njiani, kweli simba yuko barabarani katikati.
14
Mlango hupinduka kwa bawaba zake, naye mvivu hujipindua kitandani pake.
15
Mvivu akiutia mkono wake katika bakuli hushindwa kuurudisha kinywani mwake.
16
Mvivu ni mwerevu wa kweli machoni pake kuliko watu saba wanaojua kujibu vizuri.
17
Akamataye masikio ya mbwa apitaye ni mtu ajitiaye katika magomvi yasiyo yake.
18
Kama mwenye wazimu alivyo atupaye mishale yenye moto ya kuua watu,
19
ndivyo, alivyo mtu amdanganyaye mwenziwe, akasema: Je? Mimi sikumchekesha tu?
20
Kwa kukosa kuni moto huzimika, vivyo kwa kukosa msingiziaji ugomvi hukoma.
21
Makaa hufaa juu ya makaa yawakayo, nazo kuni hufaa motoni; ndivyo, mtu mgomvi anavyofaa kuchochea magomvi.
22
Maneno ya msingiziaji ni kama vyakula vya urembo vinavyoshuka kuingia tumboni ndani.
23
Kama fedha zenye mitapo zilizobandikwa juu ya kigae ni midomo isemayo maneno yapendezayo sana, moyo ukiwa mbaya.
24
Kwa maneno ya modomo yake mchukivu hujificha, namo moyoni mwake umo udanganyifu, alioutia humo.
25
Akisema maneno mazuri mno, usimtegemee! Kwani moyoni mwake yamo matapisho saba.
26
Uchukivu hujificha katika ujanja, lakini shaurini ubaya wake huumbuliwa.
27
Achimbaye mwina hutumbukia mwenyewe mle ndani, naye aporomoshaye jiwe hupondwa nalo.
28
Ulimi wenye uwongo huwachukia, uliowaumiza, nacho kinywa kisemacho mororo huangamiza.
← Chapter 25
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 27 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31