bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Numbers 2
Numbers 2
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 1
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 3 →
1
Bwana akamwambia Mose na Haroni kwamba:
2
Wana wa Isiraeli na wapige makambi yao kila mtu penye bendera yake, vielekezo vya mlango wa baba zao vilipo; nayo makambi, watakayoyapiga, sharti yalielekee Hema la Mkutano na kulizunguka.
3
Watakaopiga makambi upande wa mashariki wa maawioni kwa jua ndio hawa: bendera ya makambi ya vikosi vyake Yuda iwe huko kwa mkuu wa wana wa Yuda. Nasoni, mwana wa Aminadabu;
4
vikosi vyake jumla yao ni watu 74600.
5
Watakaopiga makambi kando yake ndio wao wa shina la Isakari, naye mkuu wa wana wa Isakari ni Netaneli, mwana wa Suari.
6
Vikosi vyake jumla yao ni watu 54400.
7
Tena wao wa shina la Zebuluni, naye mkuu wa wana wa Zebuluni ni Eliabu, mwana wa Heloni.
8
Vikosi vyake jumla yao ni watu 57400.
9
Jumla yao wote watakaokuwa makambini kwa Yuda ni watu 186400 kwa vikosi vyao, nao ndio wa kwanza watakaoondoka.
10
Upande wa kusini itakuwako bendera ya makambi ya vikosi vya Rubeni, naye mkuu wa wana wa Rubeni ni Elisuri, mwana wa Sedeuri.
11
Vikosi vyake jumla yao ni watu 46500.
12
Watakaopiga makambi kando yake ndio wao wa shina la Simeoni, naye mkuu wao wana wa Simeoni ni Selumieli, mwana wa Surisadai.
13
Vikosi vyake jumla yao ni watu 59300.
14
Tena wao wa shina la Gadi, naye mkuu wa wana wa Gadi ni Eliasafu, mwana wa Reueli.
15
Vikosi vyake jumla yao ni watu 45650.
16
Jumla yao wote watakaokuwa makambini kwa Rubeni ni watu 151450 kwa vikosi vyao, nao ndio wa pili watakaoondoka.
17
Kisha Hema la Mkutano na liondoke pamoja nao wakaao makambini kwa Walawi, liwe katikati ya makambi; kama walivyopanga makambini ndivyo waondoke kwenda kusafiri, kila mtu mahali pake penye bendera ya kwao.
18
Upande wa baharini itakuwako bendera ya makambi ya vikosi vya Efuraimu, naye mkuu wa wana wa Efuraimu ni Elisama, mwana wa Amihudi.
19
Vikosi vyake jumla yao ni watu 40500.
20
Kando yake watakuwako wao wa shina la Manase, naye mkuu wa wana wa Manase ni Gamulieli, mwana wa Pedasuri.
21
Vikosi vyake jumla yao ni watu 32200.
22
Tena wao wa shina la Benyamini, naye mkuu wa wana wa Benyamini ni Abidani, mwana wa Gideoni.
23
Vikosi vyake jumla yao ni watu 35400.
24
Jumla yao wote watakaokuwa makambini kwa Efuraimu ni watu 108100 kwa vikosi vyao, nao ndio wa tatu watakaoondoka.
25
Upande wa kaskazini itakuwako bendera ya makambi ya vikosi vya Dani, naye mkuu wa wana wa Dani ni Ahiezeri, mwana wa Amisadai.
26
Vikosi vyake jumla yao ni watu 62700.
27
Watakaopiga makambi yao kando yake ni wao wa shina la Aseri, naye mkuu wa wana wa Aseri ni Pagieli, mwana wa Okrani.
28
Vikosi vyake ni watu 41500.
29
Tena wao wa shina la Nafutali, naye mkuu wa wana wa Nafutali ni Ahira, mwana wa Enani.
30
Vikosi vyake jumala yao ni watu 53400.
31
Jumla yao wote watakaokuwa makambini kwa Dani ni watu 157600, nao ndio wa mwisho watakaoondoka wakizifuata bendera zao.
32
Hii ndiyo jumla yao wana wa Isiraeli wa milango ya baba zao. Wote waliohesabiwa makambini kwa vikosi vyao jumla yao walikuwa watu 603550.
33
Lakini Walawi hawakuhesabiwa kwao wana wa Isiraeli, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
34
Wana wa Isiraeli wakayafanya yote; kama Bwana alivyomwagiza Mose, ndivyo, walivyoyapiga makambi yao penye bendera zao, tena ndivyo, walivyoondoka kwenda kusafiri kila mtu na ndugu zake penye milango ya baba zao.
← Chapter 1
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 3 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36