bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 4
Job 4
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 3
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 5 →
1
Mtu akijaribu kukuambia neno, litakukasirisha?
2
Lakini yuko nani awezaye kujizuia, asiseme?
3
Tazama, uliowaonya ni wengi, ukashupaza mikono iliyokuwa imelegea.
4
Maneno yako yakawainua waliojikwaa, nayo magoti yaliyokuwa yamechoka ukayatia nguvu.
5
Lakini sasa mambo yakikufikia wewe, unazimia; yakikugusa wewe nawe, unastuka.
6
Hivyo, unavyomcha Mungu, sivyo unavyoviegemea? tena hivyo, njia zako zinavyomwelekea Mungu, sivyo unavyovingojea?
7
Kumbuka, kama yuko aliyeangamia akiwa hakukosa? tena wako wapi wanyokao waliotoweshwa?
8
Nilivyoviona ni hivi: wenye kulima mapotovu nao wenye kupanda masumbuko, huyavuna yayo hayo.
9
Mungu akiwapuzia, huangamia; akiwafokea kwa ukali wake humalizika.
10
Sauti zake simba huwa zenye ukali, akinguruma; lakini meno yao wana wa simba yakivunjika,
11
nao hukosa nyama za kula; ndivyo, naye simba anavyoangamia, nao watoto wa simba mke hutawanyika.
12
Liko neno lililonijia kama mwizi, sikio langu likalipokea, liliponong'onezwa.
13
Usiku uliponitia mawazo mengine kwa kuniotesha, ilikuwa hapo, watu wanapoangukiwa na usingizi mzito;
14
ndipo, kistusho kiliponipata na kunitetemesha, mifupa yangu yote ikafa ganzi,
15
upepo ukapita usoni pangu, mara nywele za mwili wangu zikajisimamisha,
16
kwani pakasimama mfano machoni pangu, nami sikuweza kuutambua vema, jinsi ulivyokuwa; lakini kwa kuwa kimya nikasikia sauti ya kwamba:
17
Je? yuko mtu aongokaye kuliko Mungu? Je? yuko wa kiume atakataye kuliko yeye aliyemwumba?
18
Tazama! Watumishi wake hawezi kuwategemea, nao malaika zake huwaona, wakikosa.
19
Sembuse wao wakaao katika nyumba za udongo, ambazo waliziwekea misingi uvumbini? Wao ndio wanaopondwa, kama ni nondo tu.
20
Toka asubuhi mpaka jioni husetwasetwa; nao wakiangamia kale na kale, hakuna aviwekaye moyoni.
21
Kamba za mahema yao hakatwa, wakingali wamo; kwa kukosa werevu wa kweli hujifia tu.
← Chapter 3
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 5 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42