bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 8
Job 8
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 7
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 9 →
1
Kama hayo utayasema hata lini?
2
Maneno ya kinywa chako yatavuma hata lini yakiwa kama upepo wa kimbunga?
3
Je? Yako maamuzi, Mungu anayoyapotoa? Au yako yanyokayo, Mwenyezi anayoyapotoa?
4
Kwa kuwa wanao walimkosea, amewatwika maovu yao.
5
Lakini wewe ukimtafuta Mungu mapema na kumlalamikia Mwenyezi,
6
ukiwa umetakata, ukanyoka, kweli ataamka sasa hivi, aje kwako, alitengemanishe kao lako, wongofu wako ukae humo;
7
ndipo, mali zako za kwanza zitakapokuwa chache, maana zako za mwisho zitazidi kuwa nyingi mno.
8
Walio wa kizazi cha kale waulize wao, kajishikize kwa mambo ya baba zao, waliyoyachunguza!
9
Kwani sisi tu wa jana tu, hatujui neno, kwani siku zetu ni kama kivuli kipitacho katika nchi.
10
Hao sio watakaoweza kukufunza wakikuelezea mambo, wakitoa mioyoni mwao watakayokuambia?
11
Je? Pasipokuwa penye unyevu huotesha matete? Pasipokuwa penye maji huchipuza mafunjo?
12
Siku za kuyakata zitakapotimia, yako majani ya kwanza tu; majani mengine yakiwa mabichi bado, yale yamekwisha kukauka.
13
Hivyo ndivyo, zilivyo njia zao wale waliomsahau Mungu, ndivyo, kinavyoangamia kingojeo cha mpotovu.
14
Kwani egemeo lake litavunjika, nalo kimbilio lake ni tando la buibui.
15
Akijiegemeza penye nyumba yake, haisimani, akiishika kwa nguvu, haikai.
16
Naye akiwa mwenye utomvu mwingi, ijapo jua liwe kali, nayo machipukizi yake yakilieneza shamba lake,
17
mizizi yake ikizinga nazo chungu za mawe, ikijiingiza kwa nguvu zao namo maweni penye nyumba:
18
lakini wakimng'oa mahali pake, alipokuwa, ndipo, hapo pake patakapomkana kwamba: Sijakuona.
19
Tazama! Hii ndiyo furaha, njia yake inayompatia, kisha wataota wengine hapo uvumbini, alipokuwa.
20
Utaona, Mungu hamtupi mtu asiyekosa, lakini wafanyao mabaya hawashiki mikono.
21
Kweli kinywa chako atakijaza vicheko, midomo yako nayo na ishangilie.
22
Lakini watakaoiva nyuso kwa soni ndio wachukivu wako, nayo mahema yao wasiomcha Mungu yatakuwa hayako.
← Chapter 7
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 9 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42