bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Job 7
Job 7
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 6
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 8 →
1
Je? Mtu hashurutishwi kufanya kazi ya vita huku nchini? Siku zake si sawa kama siku zake mkibarua?
2
Huwa kama mtumwa atweteaye kivuli, au kama mkibarua aungojeaye mshahara wake.
3
Vivyo hivyo nami nimepewa miezi ya kuteseka, iwe fungu langu, nikagawiwa masumbuko usiku kwa usiku.
4
Ninapolala nasema: Nitainuka lini? kwani saa za usiku huwa ndefu sana, nikazidi kujigeuzageuza kitandani, mpaka kuche.
5
Nyama za mwili wangu zimevikwa funyo na maganda yenye vumbi, ngozi yangu inapopona kidonda, papo hapo hutumbuka jipu tena.
6
Siku zangu hupita upesi sana kuliko chombo cha kufumia, sinacho kingojeo cho chote, ila zimalizike tu.
7
Kumbuka, ya kuwa siku zangu za kuwapo ni pumzi tu, jicho langu halitarudi huku, lipate kuona mema.
8
Jicho lake anionaye sasa halitanitazama tena, macho yako yatakaponielekea, nitakuwa sipo.
9
Kama wingu linavyopoteleapotelea, mpaka litoweke, vivyo hivyo naye ashukaye kuzimuni hatokei tena;
10
hawezi kurudi tena, aingie nyumbani mwake, wala mahali pake, alipokuwa, hapamtambui tena.
11
Kwa hiyo mimi sitakizuia kinywa changu, niseme kwa kusongeka rohoni mwangu, nilie kwa uchungu wa moyo wangu.
12
Je? Mimi ni kama bahari au kama nyangumi, ukiniwekea watu wa kuniangalia?
13
Nikisema: Kilalo changu ndicho kitakachonituliza moyo, kitanda changu kitanipunguzia vilio vyangu,
14
ndipo, unaponitisha kwa kuniotesha ndoto, kwa kunionyesha maono unanistusha.
15
Kwa hiyo roho yangu inapenda kunyongwa tu, kuliko kuwa gofu la mtu, kama nilivyo, inapenda kufa kweli.
16
Nimekata tamaa kwa kukataa kuwapo kale na kale; kwa sababu siku zangu ni za bure, uniache tu!
17
Mtu ndio nini, ukimkuza, ukimwelekezea moyo wako, umwangalie?
18
Ukimkagua kila kunapokucha? Ukimjaribu punde kwa punde?
19
Mbona hutakoma kunitazama? Hutaniacha peke yangu, niyameze mate yangu?
20
Kama nimekosa, nimekufanyia nini, wewe mlinda watu? Mbona umeniweka kuwa shabaha yako ya kuipiga, mpaka nikijiona mwenyewe kuwa mzigo?
21
Mbona huniondolei maovu yangu, ukazitowesha nazo manza, nilizozikora? Kwani sasa ninakwenda zangu kulala uvumbini; utakaponitafuta mapema utaniona, sipo.
← Chapter 6
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 8 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42