bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Genesis 10
Genesis 10
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 9
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 11 →
1
Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Noa: Semu, Hamu na Yafeti; nao walizaliwa wana baada ya mafuriko ya maji.
2
Wana wa Yafeti ni Gomeri na Magogi na Madai na Yawani na Tubali na Meseki na Tirasi.
3
Nao wana wa Gomeri ni Askenazi na Rifati na Togarma.
4
Nao wana wa Yawani ni Elisa na Tarsisi na Wakiti na Wadodani.
5
Kwao hao walijitenga wenyeji wa visiwa vya wamizimu, wakae katika nchi zao, kila kabila lenye msemo wake; hivyo ndivyo, koo zao zilivyopata kuwa mataifa.
6
Nao wana wa Hamu ni Kusi (Nubi) na Misri na Puti na Kanaani.
7
Nao wana wa Kusi ni Seba na Hawila na Sabuta na Rama na Sabuteka. Nao wana wa Rama ni Saba na Dedani.
8
Kusi akamzaa Nimurodi; ndiye aliyeanza kuwa mwenye nguvu katika nchi.
9
Alikuwa mwindaji mwenye nguvu mbele ya Bwana, kwa hiyo watu husema: Mwindaji mwenye nguvu mbele ya Bwana kama Nimurodi.
10
Mwanzo wa ufalme wake ulikuwa huko Babeli na Ereki na Akadi na Kalne katika nchi ya Sinari.
11
Akatoka katika nchi hii kwenda Asuri, akajenga huko Niniwe na Rehoboti, Iri na Kala,
12
tena Reseni katikati ya Niniwe na Kala, nao ni mji mkubwa.
13
Naye Misri akawazaa Waludi na Waanami na Walehabi na Wanafutuhi
14
na Wapatirusi na Wakasiluhi, ambao Wafilisti walitoka kwao, na Wakafutori.
15
Naye Kanaani akamzaa Sidoni, mwanawe wa kwanza, na Hiti;
16
tna Myebusi na Mwamori na Mgirgasi
17
na Mhiwi na Mwarki na Msini,
18
na Mwarwadi na Msemari na Mhamati. Halafu koo zao Wakanaani zikasambaa.
19
Mipaka yao Wakanaani ilianza Sidoni, ikafika Gerari na Gaza, ikaendelea kufika Sodomu na Gomora na Adima na Seboimu mpaka Lasa.
20
Hawa ndio wana wa Hamu, walivyokuwa wenye koo zao na miseo yao, tena ndivyo, mataifa yao walivyokaa katika nchi zao.
21
Naye Semu, baba yao wana wote wa Eberi, aliyekuwa kaka yake yafeti, akazaliwa wana.
22
Wana wa Semu ni Elamu na Asuri na Arpakisadi na Ludi na Aramu.
23
Nao wana wa Aramu ni Usi na Huli na Geteri na Masi.
24
Naye Arpakisadi akamzaa Sela, naye Sela akamzaa Eberi.
25
Naye Eberi akazaliwa wana wawili, jina lake wa kwanza ni Pelegi (Gawanyiko), kwa kuwa siku zake ndipo, nchi hii ilipogawanyika, nalo jina la nduguye ni Yokitani.
26
Naye Yokitani akamzaa Almodadi na Selefu na Hasarmaweti na Yera,
27
na Hadoramu na Uzali na Dikla,
28
na Obali na Abimaeli na Saba,
29
na Ofiri na Hawila na Yobabu. Hawa wote ndio wana wa Yokitani.
30
Nayo makao yao yalianza Mesa, yakafika mpaka mlima wa Sefari ulioko upande wa maawioni kwa jua.
31
Hawa ndio wana wa Semu, walivyokuwa wenye koo zao na misemo yao, tena ndivyo, mataifa yao yalivyokaa katika nchi zao.
32
Hizi ndizo koo zao wana wa Noa, walivyofuatana kuzaliwa na kugawanyika kuwa mataifa. Kwa hiyo walijitenga kuwa mataifa yaliyokaa katika nchi baada ya mafuriko ya maji.
← Chapter 9
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 11 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50