bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Genesis 11
Genesis 11
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 10
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 12 →
1
Watu wa nchi yote nzima walikuwa wenye msemo mmoja, nayo maneno yalikuwa yaleyale mamoja.
2
Ikawa, walipoondoka kwenda upande wa maawioni kwa jua, wakaona bonde pana katika nchi ya Sinari, wakakaa huko.
3
Kisha wakasemezana wao kwa wao: Haya! Na tuumbe matofali, tuyachome moto! Haya matofali yakawa mawe yao ya kujenga, nao udongo ukawa chokaa yao.
4
Wakasema: Haya! Na tujijengee mji wenye mnara, nayo ncha yake ifike mbinguni, tujipatie jina, tusije kusambazwa katika nchi zote za duniani!
5
Ndipo, Bwana aliposhuka, autazame huo mji na mnara, wana wa Adamu walioujenga.
6
Bwana akasema: Ninawaona watu hawa kuwa ukoo mmoja tu, nao msemo wao wote ni mmoja tu vilevile. Nao huu ndio mwanzo tu wa matendo yao; sasa yote, watakayoyawaza mioyoni kuyafanya, hakuna lo lote litakalowashinda.
7
Haya! Na tushuke, tuuvuruge msemo wao huko, mtu asiusikie msemo wa mwenziwe!
8
Hivyo ndivyo, Bwana alivyowatawanya na kuwatoa huko, wajiendee kukaa katika nchi zote. Ndipo, walipoacha kuujenga ule mji.
9
Kwa sababu hiyo wakauita jina lake Babeli (Mvurugo), kwa kuwa huko ndiko, Bwana alikouvuruga msemo wa watu wote wa huku nchini, akawatawanya na kuwatoa huko, wajiendee kukaa katika nchi zote.
10
Hivi ndivyo vizazi vya Semu: Semu alipokuwa mwenye miaka 100 akamzaa Arpakisadi katika mwaka wa pili baada ya mafuriko ya maji.
11
Semu alipokwisha kumzaa Arpakisadi akawapo miaka 500, akazaa wana wa kiume na wa kike.
12
Arpakisadi alipokuwa mwenye miaka 35 akamzaa Sela.
13
Arpakisadi alipokwisha kumzaa Sela akawapo miaka 403, akazaa wana wa kiume na wa kike.
14
Sela alipokuwa mwenye miaka 30 akamzaa Eberi.
15
Sela alipokwisha kumzaa Eberi akawapo miaka 403, akazaa wana wa kiume na wa kike.
16
Eberi alipokuwa mwenye miaka 34 akamzaa Pelegi.
17
Eberi alipokwisha kumzaa Pelegi akawapo miaka 430, akazaa wana wa kiume na wa kike.
18
Pelegi alipokuwa menye miaka 30 akamzaa Reu.
19
Pelegi alipokwisha kumza Reu akawapo miaka 209, akazaa wana wa kiume na wa kike.
20
Reu alipokuwa mwenye miaka 32 akamzaa Serugi.
21
Reu alipokwisha kumzaa Serugi akawapo miaka 207, akazaa wana wa kiume na wa kike.
22
Serugi alipokuwa mwenye miaka 30 akamzaa Nahori.
23
Serugi alipokwisha kumzaa Nahori akawapo miaka 200, akazaa wana wa kiume na wa kike.
24
Nahori alipokuwa mwenye miaka 29 akamzaa Tera.
25
Nahori alipokwisha kumzaa Tera, akawapo miaka 119, akazaa wana wa kiume na wa kike.
26
Tera alipokuwa mwenye miaka 70 akamzaa Aburamu na Nahori na Harani.
27
Hivi ndivyo vizazi vya Tera: Tera akamzaa Aburamu na Nahori na Harani. Naye Harani akamzaa Loti.
28
Harani akafa machoni pake baba yake Tera katika nchi alikozaliwa, ndiko Uri wa Wakasidi.
29
Kisha Aburamu na Nahori wakajichukulia wanawake, mkewe Aburamu jina lake Sarai, naye mkewe Nahori jina lake Milka, binti Harani aliyekuwa baba yao Milka na Isika.
30
Lakini Sarai alikuwa mgumba, asipate mtoto.
31
Kisha Tera akamchukua mwanawe Aburamu na Loti, mwana wa mwanawe Harani, na mkwewe Sarai, mkewe mwanawe Aburamu, wakatoka naye mle Uri wa Wakasidi kwenda katika nchi ya Kanaani, nao walipofika Harani wakakaa huko.
32
Nazo siku zake Tera zilikuwa miaka 205, naye akafa huko Harani.
← Chapter 10
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 12 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50