Genesis 29
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
17Macho yake Lea yalikuwa yemepumbaapumbaa, lakini Raheli alikuwa mzuri wa umbo lake na wa uso wake.
28Yakobo akafanya hivyo, akalimaliza juma hilo la ndoa, kisha akampa naye mwanawe Raheli kuwa mkewe.