bible
ra
🌐 Language
English
Español
Français
Deutsch
Português
Italiano
Nederlands
Русский
中文
日本語
한국어
العربية
Türkçe
Tiếng Việt
ไทย
Indonesia
All Languages
Home
/
Swahili
/
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
/
Genesis 36
Genesis 36
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
← Chapter 35
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 37 →
1
Hivi ndivyo vizazi vyake Esau aliyeitwa Edomu:
2
Esau akachukua wakeze kwao wanawake wa Kanaani: Ada, binti Mhiti Eloni, na Oholibama, binti Ana, binti Mhiwi Siboni,
3
na Basimati, binti Isimaeli, umbu lake Nebayoti.
4
Ada akamzalia Esau Elifazi, naye Basimati akamzaa Reueli.
5
Naye Oholibama akamzaa Yeusi na Yalamu na Kora.
6
Kisha Esau akawachukua wakeze na wanawe wa kiume na wa kike nao wote waliokuwa nyumbani mwake na mbuzi na kondoo wake na nyama wengine wote, aliowafuga, na mapato yake yote, aliyoyapata katika nchi ya Kanaani, akaondoka kwa ndugu yake Yakobo, akaenda katika nchi nyingine.
7
Kwani mapato yao yalikuwa mengi, wasiweze kukaa pamoja; nayo nchi hiyo, waliyoikaa ugeni, haikuweza kuwaeneza kwa ajili ya makundi yao.
8
Kwa hiyo Esau akaenda kukaa vilimani kwa Seiri, naye Esau ndiye Edomu.
9
Navyo hivi ndivyo vizazi vyake Esau, baba yao Waedomu, milimani kwa Seiri.
10
Haya ndiyo majina yao wanawe Esau: Elifazi, mwana wa Ada, mkewe Esau, tena Reueli, mwana wa Basimati, mkewe Esau.
11
Nao wana wa Elifazi walikuwa Temani, Omari, Sefo na Gatamu na Kenazi.
12
Naye Timuna alikuwa suria yake Elifazi, mwana wa Esau; akamzalia Elifazi Amaleki. Hawa ndio wana wa Ada, mkewe Esau.
13
Nao hawa ndio wana wa Reueli: Nahati na Zera, Sama na Miza; hawa ndio wana wa Basimati, mkewe Esau.
14
Nao hawa ndio wana wa Oholibama, binti Ana, binti Siboni, mkewe Esau, aliomzalia Esau: Yeusi na Yalamu na Kora.
15
Hawa ndio majumbe wao wana wa Esau: Wana wa Elifazi, mwanawe wa kwanza wa Esau, walikua: Jumbe Temani, jumbe Omari, jumbe Sefo, jumbe Kenazi,
16
jumbe Kora, jumbe Gatamu, jumbe Amaleki. Hawa ndio majumbe wa Elifazi katika nchi ya Edomu, nao ndio wana wa Ada.
17
Nao hawa ndio wana wa Reueli, mwana wa Esau: Jumbe Nahati, Jumbe Zera, Jumbe Sama, jumbe Miza. Hawa ndio majumbe wa Reueli katika nchi ya Edomu, nao ndio wana wa Basimati, mkewe Esau.
18
Nao hawa ndio wana wa Oholibama, mkewe Esau: Jumbe Yeusi, jumbe Yalamu, jumbe Kora. Hawa ndio majumbe wa Oholibama, binti Ana, mkewe Esau.
19
Hawa ndio wanawe Esau, nao ndio majumbe wao. Hawa ndio Waedomu.
20
Hawa ndio wana wa Mhori Seiri waliokuwa katika hiyo nchi: Lotani na Sobali na Siboni na Ana,
21
na Disoni na Eseri na Disani; hawa ndio majumbe wa Wahori, wana wa Seiri, katika nchi ya Edomu.
22
Nao wana wa Lotani walikuwa Hori na Hemamu, naye umbu lake Lotani ni timuna.
23
Nao hawa ndio wana wa Sobali: Alwani na Manahati na Ebali, Sefo na Onamu.
24
Nao hawa ndio wana wa Siboni: Aya na Ana; huyu Ana ndiye aliyeziona chemchemi za maji ya moto nyikani alipowachunga punda wa baba yake Siboni.
25
Nao hawa ndio wana wa Ana: Disoni na Oholibama, binti Ana.
26
Nao hawa ndio wana wa Disoni: Hemudani na Esibani na Itirani na Kerani.
27
Hawa ndio wana wa Eseri: Bilihani na Zawani na Akani.
28
Hawa ndio wana wa Disani: Usi na Arani.
29
Hawa ndio majumbe wa Wahori: Jumbe Lotani, jumbe Sobali, jumbe Siboni, jumbe Ana,
30
jumbe Disoni, jumbe Eseri, jumbe Disani; hawa ndio majumbe wa Wahori walioushika ujumbe wao katika nchi ya Seiri.
31
Nao hawa ndio wafalme waliotawala katika nchi ya Edomu, wana wa Isiraeli walipokuwa hawajapata bado mfalme.
32
Bela, mwana wa Beori, alikuwa mfalme huko Edomu, nalo jina la mji wake ni Dinihaba.
33
Bela alipokufa, Yobabu, mwana wa Zera aliyetoka Bosira, akawa mfalme mahali pake.
34
Yobabu alipokufa, Husamu wa nchi ya Watemani akawa mfalme mahali pake.
35
Husamu alipokufa, Hadadi, mwana wa Bedadi aliyewapiga Wamidiani katika mbuga za Wamoabu, akawa mfalme mahali pake; nalo jina la mji wake ni Awiti.
36
Hadadi alipkufa, Samula aliyetoka Masireka akawa mfalme mahali pake.
37
Samula alipokufa, Sauli aliyetoka Rehoboti wa Mtoni akawa mfalme mahali pake.
38
Sauli alipokufa, Baali-Hanani, mwana wa Akibori, akawa mfalme mahali pake.
39
Baali-Hanani, mwana wa Akibori, alipokufa, Hadari akawa mfalme mahali pake, nalo jina la mji ni Pau, nalo jina la mkewwe ni Mehetabeli, binti Matiredi, binti Mezahabu.
40
Haya ndiyo majina ya majumbe wa Esau, tena ndivyo, walivyoitwa majina yao kwa ndugu zao napo mahali pao, walipokaa: Jumbe Timuna, jumbe Alwa, jumbe Yeteti,
41
jumbe Oholibama, jumbe Ela, jumbe Pinoni,
42
jumbe Kenazi, jumbe Temani, jumbe Mibusari,
43
jumbe Magidieli, jumbe Iramu. Hawa ndio majumbe wa Waedomu, jinsi walivyoitwa kwa koo zao katika hizo nchi, walizozichukua kuwa zao. Huyu ndiye Esau, baba yao Waedomu.
← Chapter 35
Jump to:
Chapter 1
Chapter 2
Chapter 3
Chapter 4
Chapter 5
Chapter 6
Chapter 7
Chapter 8
Chapter 9
Chapter 10
Chapter 11
Chapter 12
Chapter 13
Chapter 14
Chapter 15
Chapter 16
Chapter 17
Chapter 18
Chapter 19
Chapter 20
Chapter 21
Chapter 22
Chapter 23
Chapter 24
Chapter 25
Chapter 26
Chapter 27
Chapter 28
Chapter 29
Chapter 30
Chapter 31
Chapter 32
Chapter 33
Chapter 34
Chapter 35
Chapter 36
Chapter 37
Chapter 38
Chapter 39
Chapter 40
Chapter 41
Chapter 42
Chapter 43
Chapter 44
Chapter 45
Chapter 46
Chapter 47
Chapter 48
Chapter 49
Chapter 50
Chapter 37 →
All chapters:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50